Blog

Habari & Updates za MkekaZone

App releases, insights za michezo na matangazo rasmi.

Kwenye App

Settlement Engine — Matokeo Halisi kutoka ESPN

Mikeka ya ubashiri sasa inafungwa kiotomatiki na matokeo halisi ya mechi (ESPN API). Tipster hana sauti — win rate unayoiona kwenye profaili ni ya kweli.

Kwenye App

Bei kwa Viwango — Rookie • Pro • Elite

Tipster hawezi kujipangia bei yoyote: Rookie hadi TZS 1,000, Pro hadi 2,500, Elite hadi 5,000+. Ukomo unaotokana na win rate iliyohakikiwa — wlinzi wa mnunuzi.

Kuandaliwa

APK ya Android — Kwa Hivi Karibuni

Toleo la kwanza la APK linaandaliwa. Kitufe cha kupakua kitawashwa rasmi hapa ukishatolewa na kuthibitishwa (version, size na SHA-256 zitaonekana wazi).

Blog kamili (makala za elimu ya michezo) inakuja — Learning Hub inaandaliwa.

Jiandikishe kupata updates kwanza