Help Center
Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi
Hukupata jibu? Wasiliana nasi — tunajibu ndani ya saa 24.
MkekaZone ni nini?
MkekaZone ni sports discovery na prediction marketplace inayounganisha takwimu za michezo, tipsters na jamii kwenye platform moja — takwimu za mechi, ubashiri zinazouzwa na tipsters, na elimu ya michezo.
Je, MkekaZone ni betting company?
Hapana. MkekaZone SIO kampuni ya kamari na haipokei michezo ya kamari. Hatuweki odds, hatupokei stakes na hatupangi matokeo ya kamari. Tunatoa takwimu, ubashiri wa kielimu kutoka kwa tipsters na elimu. Unachaji ni kwa Insight za tipsters (bidhaa ya kielimu), sio kucheza kamari. Uamuzi wa kucheza kamari kwenye bookmakers nje ya MkekaZone ni wako na unapita 18+ pekee.
Je, naweza kuwa muuzaji wa predictions?
Ndiyo. Jisajili kwenye app, wasilisha ombi la kuwa tipster na ukithibitishwa utapata Seller Studio: tengeneza ubashiri, weka bei (kwa mujibu wa kiwango chako Rookie/Pro/Elite), fuatilia mauzo na mapato. MkekaZone inachukua kamisheni ya 20% — wewe unabaki na 80%. Malipo ya mapato huingia kwenye wallet yako ya ndani na unaweza kutoa (withdraw) unapofikia kiwango cha chini.
Je, predictions zinahakikisha ushindi?
HAPANA — na mtu yeyote anayekuahubia ushindi wa 100% ni MWONGO na anavyunjwa kanuni zetu. Michezo haiwezi kutabiriwa kwa uhakika. Tunatoa: rekodi halisi ya tipster (win rate kutoka matokeo ya ESPN), takwimu na AI insights kukusaidia kuamua. Cheza kwa busara — usitumie pesa unayoihitaji. Ubashiri hauhakikishwi ushindi.
Nitapakua APK wapi?
Kwenye ukurasa wa Download wa tovuti hii (mkekazone.com/download) — chanzo RASMI pekee. Kitufe kinawashwa pale APK rasmi inapotolewa; tutaonyesha version, file size, SHA-256 na maelekezo ya kufunga. Hatukuombi KUZIMA Play Protect — kama simu yako itaonya wakati wa kufunga, tumia kidirisha rasmi cha Android tu, au fuata maelekezo yetu ya hatua kwa hatua kwenye ukurasa wa Download.
Je, MkekaZone inatumika kwenye iPhone?
App rasmi ya iOS inakuja baadae (Coming Soon). Kwa sasa watumiaji wa iPhone wanaweza kutumia MkekaZone kupitia browser (Safari) kwa kufungua tovuti/app — itafanya kazi vizuri, ingawa APK ya Android ndiyo toleo kuu lililorasimiwa kwanza.