Features za MkekaZone

Kila Kitu cha Michezo, Sehemu Moja

Tunajenga kwa makini — features zilizofanya kazi zimealama 'Inafanya Kazi'; zilizokuja baadae zimealama 'Coming Soon' kwa ukweli.

Inafanya Kazi

Prediction Marketplace

Gundua ubashiri za tipsters mbalimbali, linganisha taarifa na uone historia yao iliyohakikiwa na mfumo.

Inafanya Kazi

Sports Analytics

Fixtures, form, head-to-head, takwimu na matokeo ya mechi — data halisi kutoka ESPN.

Inafanya Kazi

Verified Tipsters

Profaili zenye rekodi za ubashiri uliothibitishwa na Settlement Engine — si madai ya mdomo.

Inafanya Kazi

AI Match Insights

Uchambuzi wa data na insights zinazosaidia kuelewa mechi kabla ya kuanza.

Inafanya Kazi

Tipster Community

Fuatilia tipsters wapendwa, pata updates za michezo na shiriki kwenye jamii.

Inafanya Kazi

Seller Studio

Tengeneza ubashiri, dhibiti listings, mauzo na mapato yako kupitia dashibodi moja.

Inafanya Kazi

Smart Notifications

Taarifa za mechi, ubashiri na matokeo — moja kwa moja kwenye app.

Inafanya Kazi

VIP Pass

Fuatilia tipster bora kwa Wiki au Mwezi — bila kununua kila ubashiri. Hakuna auto-renewal.

Coming Soon

Sports Learning Hub

Elimu kuhusu odds, probability, markets na responsible gaming.