Android • APK

Pakua MkekaZone kwa Android

Hapa ndipo chanzo PEKEE cha APK rasmi ya MkekaZone. Kila toleo linaonyesha version, size na SHA-256 kwa uwazi.

MkekaZone app icon

MkekaZone

Your Sports. Your Zone.

Pakua APK

⏳ Pending release — APK haijapakiwa rasmi

App version
Inaandaliwa
File size
Itathibitishwa
Platform
Android APK

Kitufe cha kupakua kitawashwa baada ya APK rasmi kupakiwa na kuthibitishwa. Chanzo pekee cha APK ni ukurasa huu.

Jinsi ya kufunga (hatua kwa hatua)

  1. 1Bofya kitufe cha Download ukishawashwa — APK itaanza kupakua.
  2. 2Fungua faili lililopakuliwa kwenye simu yako.
  3. 3Android itakuuliza 'Allow from this source' kwa browser yako — idhinisha mara moja. USIZIME Play Protect.
  4. 4Bonyeza Install, subiri, kisha fungua MkekaZone na jisajili.

Uadilifu wa faili: kila toleo lina SHA-256 checksum inayoonyeshwa hapa kabla ya kupakua. Kama checksum hailingani, USIINSTALL — tujulishe mara moja.

iPhone? Kwa sasa tumia MkekaZone kupitia browser (Safari). App ya iOS — Coming Soon.

Android 8.0 au mpya zaidi • ~30MB haijabainishwa rasmi • Bure

iOS: Coming Soon — kwa sasa tumia browser (Safari)

Onyo la usalama: usipakue MkekaZone kutoka tovuti nyingine (fetesini, groups za Telegram n.k.). APK za feku zinaweza kuiba taarifa zako. Chanzo pekee ni mkekazone.com/download.