Jinsi Inavyofanya Kazi
Kutoka Download hadi Ushindi wa Maarifa — Hatua 4
1. Pakua & Jisajili
Pakua APK rasmi kutoka ukurasa wa Download (chanzo pekee rasmi). Fungua app, ingiza namba yako ya simu na thibitisha umri (18+). Usajili ni bure — hunalipi chochote kuanza.
2. Chunguza Michezo & Tipsters
Tazama fixtures za leo, form, head-to-head na takwimu (data ya ESPN). Tembelea Marketplace: linganisha tipsters kwa win rate iliyohakikiwa, bei na rekodi halisi — si matangazo.
3. Fungua Ubashiri
Chagua ubashiri unaokufaa. Chaji wallet yako kwa ZenoPay (M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas) au tumia salio lililopo. Ubashiri inafunguka mara moja na inabaki kwenye akaunti yako.
4. Fuatilia & Jifunze
Fuatilia tipsters wapendwa, pata notifications za mechi na matokeo, na angalia jinsi mikeka iliyopita ilivyofunga KIOTOMATIKI na Settlement Engine. Jifunze na jamii.
Hakuna ubashiri wa 'hakika 100%' — tunazuia wadanganyifu
Win rate zinatokana na matokeo halisi ya ESPN
Marejesho ya mechi zilizoandaliwa — kiotomatiki kwenye wallet